Jumatano, 30 Oktoba 2013
UKISIKILIZA KILA MTETEZI UTADUWAA
I shared a webpage - MPEKUZI: Zitto Kabwe adai kuchoshwa na siasa za Majungu CHADEMA by @UC Browser http://www.mpekuzihuru.com/2013/10/zitto-kabwe-adai-kuchoshwa-na-siasa-za.html?m=1
Yametimia YANI HAONI KUNDULE
MPEKUZI: Uozo wa CHADEMA wajulikana...Hapa nimeweka katiba ya mwaka 2004 na 2006....Ukweli ni kwamba, Katiba ya 2006 Ilibadilishwa kinyemela by @UC Browser http://www.mpekuzihuru.com/2013/10/uozo-wa-chadema-wajulikanahapa-nimeweka.html?m=1
Jumanne, 29 Oktoba 2013
VIJANA WANACHUO KUTOKA VYUO VIKUU MJINI DODOMA KUWA MFANO KWA JAMII

Conrad na Justine ni vijana ambao kwa sasa wapo mwaka wa TATU na wa PILI katika vyuo vya DODOMA na St. JOHN, katika hali ya kushangaza vijana hao, wameanzisha mfomo wa kuwakopesha na kuwadhamini wanawake wajasiliamali wanaojikusanya katika makundi ya watu watano watano. wanawake hao, wanao patikana katika mtaa wa CHAMWINO katika Wilaya ya DoDOMA mjini, kweli hao ni vijana wa kuigwa katika hali ya kustajibisha kwa vijana walio wengi wa vyuoni hapa kwetu Tanzania wanao pewa Fedha za kujikimu na serikali wakati wa masomo yao ya juu na kuzitumia kwa kujirusha na kufanya Anasa zingine namwisho
Jumapili, 27 Oktoba 2013
MUONRKANO WA DODOMA SIKU ZA WEEK END
Jumapili ni siku yenye mambo mengi. Wengine kusali wengine mazoez. Na wengine mapumziko. Huu ndo muonekano wa jamuhuri nje.
LEO TENA KATIKA SIASA
Rais wa awamu ya nne na mwemyekiti cha chama cha mapinduzi Mh. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifunga semina elelekezi mjini DODOMA ameasa viongozi hao waandamizi wa chama kuwa waadilifu. ili kukinusuru chama katika chaguzi Zijazo
Jumamosi, 26 Oktoba 2013
VIJANA NA KAZI ZA UJASIRIA MALI
vijana kwa sasa wameanza kubadili mtazamo wa maisha yao na kurudi mashambani kwenda kutafuta mali, kwa juhudi zao zote nakuachana na kasumba ya kuwa mategemizi mijini. hayo yametia na kudhihilika leo katika mahajiano na kijana Juma Deusi
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)