Kurasa

Ijumaa, 1 Novemba 2013

WIZARA YA ELIMU TENA

I shared a webpage - MPEKUZI: Muda wa kuchukua maoni umemalizika....Mfumo wa kutumia COURSE WORK ( CA ) kwa wanafunzi wa sekondari umepita....BOFYA HAPA by @UC Browser http://www.mpekuzihuru.com/2013/11/muda-wa-kuchukua-maoni-umemalizikamfumo.html?m=1

Maoni 1 :

  1. Hii wizara ya elimu inahitaji maombi ya kila aina na kumbuka kuna waziri mmoja alipewa madaraka akafanya mambo mengi ya hovyo hovyo likiwemo la kufuta michezo shuleni,akaja mwingine akabadili viwango vya kufaulu sijui wana shauriwa nani??nchi yetu ni ya demokrasia kwanini usiombe mapendekezo kwa umma(majority)wewe kiongozi ukijisikia kwa matakwa yako una amua tu na pata hofu kuhusu viongozi wa elimu na elimu yao walio nayo kwani juzi juzi tu naibu waziri wa elimu aliongea madudu afrika ya kusini mbele ya viongozi wengi waafrika akisema,Tanzania imepakana na visiwa vya Zanzibar na Mozambique na viliungana mwaka 11964,foolish wewe kiongozi gani wa elimu memkwa au upe alipo hojiwa eti nilikosea ulimi uliteleza watazania wachache sana waliamini ukinitoa mimi,Namuomba waziri mkuu kusitisha zoezi hili na lirudi kwa wananchi ndiyo wenye maoni na kuna wasomi kuliko huyo kiongozi aliye ropoka baada ya kushauriwa baa na wanywaji wenzie nime penda mfano huu "uwezi kuona bomba lina toa matope uka badili koki bila kucheki source",nimechukia mfumo huu sana division 5 ina sifa gani au kuna vyuo wana vianda vya division5,ziro 0 ,F vinaogopewa kama msiba leo unaweka tafsida ya division 5 unajenga jamii au unabomoa huyo kiongozi watoto wake hawa somi hapa ndiyo maana anataka kuwajengea wanafunzi hakuna ziro tafadhali msituburuze au mtuambie kama democrasia imekwisha ili tujue nchi ni yawachache.

    JibuFuta